Genesis 30:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakapata mimba mbele ya hizo fito; wakazaa wanyama wenye milia, mabakamabaka na madoadoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakapandwa hizo fito zikiwa mbele yao. Wanyama waliopata mimba mbele ya hizo fito walizaa wanyama wenye mistari, madoadoa na mabaka mabaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanyama wakapata mimba mbele ya hizo fito, wakazaa wanyama walio na milia, na madoadoa, na marakaraka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakapata mimba mbele ya hizo fito; wakazaa wanyama wenye milia, mabakamabaka na madoadoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakapandwa hizo fito zikiwa mbele yao, wanyama waliopata mimba mbele ya hizo fito, walizaa wanyama wenye mistari, madoadoa na mabakabaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakapandwa hizo fito zikiwa mbele yao. Wanyama waliopata mimba mbele ya hizo fito walizaa wanyama wenye mistari, madoadoa na mabakabaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanyama wakapata mimba mbele ya hizo fito, wakazaa wanyama walio na milia, na madoadoa, na marakaraka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakapata mimba mbele ya hizo fito; wakazaa wanyama wenye milia, mabakamabaka na madoadoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mbuzi na kondoo waliponyegeshwa mbele ya hao matawi, ndipo, hao mbuzi na kondoo walipozaa wenye madoadoa na vipakupaku na mawaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanyama wakapata mimba mbele ya hizo fito, wakazaa wanyama walio na milia, na madoadoa, na marakaraka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakapata mimba mbele ya zile fito; wakazaa nyama wenye mistari, matakamataka na madoadoa.