Genesis 31:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ikasikika kwamba watoto wa kiume wa Labani walinungunika na kusema, “Yakobo amenyakua kila kitu cha baba yetu; ndivyo alivyopata kuwa tajiri.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo akawasikia wana wa Labani wakisema, “Yakobo amechukua mali yote ya baba yetu, naye amepata utajiri huu wote kutokana na mali ya baba yetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani, wakisema, Yakobo amechukua mali yote ya baba yetu; na kwa mali ya baba yetu amepata fahari hii yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ikasikika kwamba watoto wa kiume wa Labani walinung'unika na kusema, “Yakobo amenyakua kila kitu cha baba yetu; ndivyo alivyopata kuwa tajiri.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo akawasikia wana wa Labani wakisema, “Yakobo amechukua kila kitu kilichokuwa cha baba yetu naye amepata utajiri huu wote kutokana na vile vilivyokuwa mali ya baba yetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo akawasikia wana wa Labani wakisema, “Yakobo amechukua kila kitu kilichokuwa cha baba yetu naye amepata utajiri huu wote kutokana na vile vilivyokuwa mali ya baba yetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani, wakisema, Yakobo amechukua mali yote ya baba yetu; na kwa mali ya baba yetu amepata fahari hii yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ikasikika kwamba watoto wa kiume wa Labani walinungunika na kusema, “Yakobo amenyakua kila kitu cha baba yetu; ndivyo alivyopata kuwa tajiri.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani kwamba: Yakobo ameyachukua yote yaliyokuwa ya baba yetu; katika hayo yaliyokuwa yake baba yetu ndimo, alimoyatoa hayo mapato yake yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani, wakisema, Yakobo amechukua mali yote ya baba yetu; na kwa mali ya baba yetu amepata fahari hii yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yakobo akasikia kwamba wana wa Labani walinungunika na kusema: “Yakobo amepeleka kila kitu cha baba yetu; ndivyo alivyopata kuwa tajiri.”