Genesis 31:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati wa majira ya wanyama kupata mimba niliota ndoto, na katika ndoto hiyo niliona mabeberu wote waliopanda majike walikuwa wenye milia, madoadoa na mabakamabaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Majira ya kuzaliana niliota ndoto. Niliinua macho na kuona kwamba wale beberu waliokuwa wakiwapanda mbuzi walikuwa wana mistari, madoadoa na mabaka mabaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, wakati wale wanyama walipochukua mimba, naliinua macho yangu nikaona katika ndoto, na tazama, mabeberu waliowapanda hao wanyama walikuwa na milia, na madoadoa, na marakaraka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati wa majira ya wanyama kupata mimba niliota ndoto, na katika ndoto hiyo niliona mabeberu wote waliopanda majike walikuwa wenye milia, madoadoa na mabakamabaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati fulani majira ya kuzaliana niliota ndoto ambayo niliinua macho na kuona kwamba wale mabeberu waliokuwa wakipanda kundi walikuwa wa mistari, madoadoa na mabakabaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati fulani majira ya kuzaliana niliota ndoto ambayo niliinua macho na kuona kwamba wale mabeberu waliokuwa wakipanda kundi walikuwa wa mistari, madoadoa na mabakabaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, wakati wale wanyama walipochukua mimba, niliinua macho yangu nikaona katika ndoto, na tazama, mabeberu waliowapanda hao wanyama walikuwa na milia, na madoadoa, na marakaraka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati wa majira ya wanyama kupata mimba niliota ndoto, na katika ndoto hiyo niliona mabeberu wote waliopanda majike walikuwa wenye milia, madoadoa na mabakamabaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa siku zile, mbuzi waliponyegeshwa, nikayainua macho yangu, nikatazama katika ndoto, nikaona, madume waliowapanda majike walikuwa wenye vipakupaku na wenye madoadoa na wenye marakaraka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, wakati wale wanyama walipochukua mimba, naliinua macho yangu nikaona katika ndoto, na tazama, mabeberu waliowapanda hao wanyama walikuwa na milia, na madoadoa, na marakaraka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wakati wa nyama kupata mimba niliota ndoto, na katika ndoto hiyo niliona mabeberu wote waliopanda madike walikuwa wenye mistari, madoadoa na matakamataka.