Genesis 31:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akaniambia, ‘Tazama mabeberu wote wanaowapanda majike wana milia, madoadoa na mabaka mabaka. Jambo hili limekuwa hivyo kwa sababu nimeona alivyokutendea Labani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaniambia, ‘Inua macho yako uone wale beberu wote wanaowapanda mbuzi wana mistari, madoadoa au mabaka mabaka, kwa maana nimeona yale yote Labani amekutendea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Inua, basi, macho yako, ukaone; mabeberu wote wanaopanda wanyama wana milia, na madoadoa, na marakaraka; maana nimeona yote aliyokutendea Labani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akaniambia, ‘Tazama mabeberu wote wanaowapanda majike wana milia, madoadoa na mabaka mabaka. Jambo hili limekuwa hivyo kwa sababu nimeona alivyokutendea Labani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, ‘Inua macho yako uone wale mabeberu wote wanaopanda kundi wana mistari, madoadoa au mabakabaka, kwa maana nimeona yale yote ambayo Labani amekuwa akikutendea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, ‘Inua macho yako uone wale mabeberu wote wanaopanda kundi wana mistari, madoadoa au mabakabaka, kwa maana nimeona yale yote ambayo Labani amekuwa akikutendea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Inua, basi, macho yako, ukaone; mabeberu wote wanaopanda kondoo wana milia, na madoadoa, na marakaraka; maana nimeona yote aliyokutenda Labani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akaniambia, ‘Tazama mabeberu wote wanaowapanda majike wana milia, madoadoa na mabaka mabaka. Jambo hili limekuwa hivyo kwa sababu nimeona alivyokutendea Labani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Yainue macho yako, utazame, madume wote wanaowapanda majike ni wenye vipakupaku na wenye madoadoa na wenye marakaraka. Kwani nimeyaona yote, Labani aliyokufanyia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Inua, basi, macho yako, ukaone; mabeberu wote wanaopanda wanyama wana milia, na madoadoa, na marakaraka; maana nimeona yote aliyokutendea Labani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akaniambia: ‘Angalia mabeberu wote wanaowapanda madike wana mistari, madoadoa na matakamataka. Jambo hili limekuwa hivyo kwa sababu nimeona jinsi Labani alivyokutendea.