Genesis 31:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Raheli na Lea wakamjibu Yakobo, “Sisi hatuna tena sehemu au urithi wowote katika nyumba ya baba yetu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Raheli na Lea wakajibu, “Je bado tunalo fungu lolote katika urithi wa nyumba ya baba yetu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Raheli na Lea wakajibu, wakamwambia, Je! Imetubakia sehemu au urithi katika nyumba ya baba yetu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Raheli na Lea wakamjibu Yakobo, “Sisi hatuna tena sehemu au urithi wowote katika nyumba ya baba yetu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Raheli na Lea wakajibu, “Je bado tu tunalo fungu lo lote katika urithi wa nyumba ya baba yetu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Raheli na Lea wakajibu, “Je bado tu tunalo fungu lolote katika urithi wa nyumba ya baba yetu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Raheli na Lea wakajibu, wakamwambia, Je, Imebakia sehemu au urithi kwa ajili yetu katika nyumba ya baba yetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Raheli na Lea wakamjibu Yakobo, “Sisi hatuna tena sehemu au urithi wowote katika nyumba ya baba yetu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Raheli na Lea walipomjibu na kumwambia: Je? Sisi tuko na mafungu nyumbani mwa baba yetu, tutakayoyatwaa, yawe yetu sisi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Raheli na Lea wakajibu, wakamwambia, Je! Imetubakia sehemu au urithi katika nyumba ya baba yetu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rakeli na Lea wakamujibu Yakobo: “Sisi hatuna tena sehemu au urizi wowote katika nyumba ya baba yetu!