Genesis 31:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aidha yeye anatuona sisi kama wageni, kwa maana ametuuza; na mali ileile tuliyonunuliwa nayo ndiyo anayotumia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, yeye hatuhesabu sisi kama wageni? Sio kwamba ametuuza tu, bali ametumia hata mali tuliyolipiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakutufanya kama wageni, maana ametuuza, naye amekula fedha zetu kabisa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aidha yeye anatuona sisi kama wageni, kwa maana ametuuza; na mali ileile tuliyonunuliwa nayo ndiyo anayotumia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, yeye hatuhesabu sisi kama wageni? Sio kwamba ametuuza tu, bali ametumia hata na vile vilivyolipwa kwa ajili yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, yeye hatuhesabu sisi kama wageni? Sio kwamba ametuuza tu, bali ametumia hata na vile vilivyolipwa kwa ajili yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakutufanya kama wageni, maana ametuuza, naye amekula fedha zetu kabisa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aidha yeye anatuona sisi kama wageni, kwa maana ametuuza; na mali ileile tuliyonunuliwa nayo ndiyo anayotumia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatuwaziwi naye kuwa wageni, kwa kuwa ametuuza, akazila nazo zile fedha zetu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakutufanya kama wageni, maana ametuuza, naye amekula fedha zetu kabisa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena yeye anatuona sisi kama wageni, kwa maana ametuuzisha. Naye amekula mali yetu.