Genesis 31:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mali yote ambayo Mungu ameichukua kutoka kwa baba yetu ni yetu sisi na watoto wetu. Kwa hiyo, fanya hayo aliyokuagiza Mungu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika utajiri wote ambao Mungu ameuchukua kutoka kwa baba yetu ni mali yetu na watoto wetu. Hivyo fanya lolote lile Mungu alilokuambia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mali yote ambayo Mungu amemnyang'anya baba yetu, mali hiyo ndiyo yetu na ya wana wetu. Basi yo yote Mungu aliyokuambia, uyafanye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mali yote ambayo Mungu ameichukua kutoka kwa baba yetu ni yetu sisi na watoto wetu. Kwa hiyo, fanya hayo aliyokuagiza Mungu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika utajiri wote ambao Mungu ameuchukua kutoka kwa baba yetu ni mali yetu na watoto wetu. Hivyo fanya lo lote lile Mungu alilokuambia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika utajiri wote ambao Mungu ameuchukua kutoka kwa baba yetu ni mali yetu na watoto wetu. Hivyo fanya lolote lile Mungu alilokuambia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mali yote ambayo Mungu amemnyang'anya baba yetu, mali hiyo ndiyo yetu na ya wana wetu. Basi, yoyote Mungu aliyokuambia, uyafanye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mali yote ambayo Mungu ameichukua kutoka kwa baba yetu ni yetu sisi na watoto wetu. Kwa hiyo, fanya hayo aliyokuagiza Mungu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mali hizo zote, Mungu alizozichukua kwa baba yetu, ni zetu sisi na za wana wetu; sasa yote, Mungu aliyokuambia, yafanye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mali yote ambayo Mungu amemnyang’anya baba yetu, mali hiyo ndiyo yetu na ya wana wetu. Basi yo yote Mungu aliyokuambia, uyafanye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mali yote ambayo Mungu ametwaa kutoka kwa baba yetu ni yetu, sisi na watoto wetu. Kwa hiyo, fanya yale Mungu aliyokuagiza!”