Genesis 31:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yakobo akajitayarisha kusafiri, akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yakobo akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yakobo akaondoka, akapandisha wanawe na wakeze juu ya ngamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yakobo akajitayarisha kusafiri, akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yakobo akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yakobo akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yakobo akaondoka, akapandisha wanawe na wakeze juu ya ngamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yakobo akajitayarisha kusafiri, akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yakobo alipoondoka, nao wanawe na wake akawapandisha juu ya ngamia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yakobo akaondoka, akapandisha wanawe na wakeze juu ya ngamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)