Genesis 31:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alichukua wanyama wake wote pamoja na mali yote aliyochuma huko Padan-aramu, akaanza safari ya kurudi nchini Kanaani kwa baba yake Isaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akawaswaga wanyama wote mbele yake, pamoja na mali yote aliyokuwa amepata huko Padan-Aramu ili aende kwa baba yake Isaka katika nchi ya Kanaani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akachukua wanyama wake wote, na mali yake yote aliyokuwa ameyapata, na wanyama aliowapata katika Padan-aramu, ili afike kwa Isaka babaye katika nchi ya Kanaani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alichukua wanyama wake wote pamoja na mali yote aliyochuma huko Padan-aramu, akaanza safari ya kurudi nchini Kanaani kwa baba yake Isaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akawaswaga wanyama wote mbele yake pamoja na vitu vyote alivyokuwa amechuma huko Padan-Aramu kwenda kwa baba yake Isaki katika nchi ya Kanaani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akawaswaga wanyama wote mbele yake pamoja na vitu vyote alivyokuwa amechuma huko Padan-Aramu kwenda kwa baba yake Isaka katika nchi ya Kanaani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akachukua wanyama wake wote, na mali yake yote aliyokuwa amepata, na wanyama aliowapata katika Padan-aramu, ili afike kwa Isaka babaye katika nchi ya Kanaani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alichukua wanyama wake wote pamoja na mali yote aliyochuma huko Padan-aramu, akaanza safari ya kurudi nchini Kanaani kwa baba yake Isaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akayachukua nayo makundi yake yote na mapato yake yote, aliyoyapata, nao nyama wengine waliokuwa mali zake, alizozipata kule Mesopotamia, aende kwa baba yake Isaka katika nchi ya Kanaani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akachukua wanyama wake wote, na mali yake yote aliyokuwa ameyapata, na wanyama aliowapata katika Padan-aramu, ili afike kwa Isaka babaye katika nchi ya Kanaani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitwaa nyama wake wote pamoja na mali yote aliyopata kule Padani-Aramu, akaanza safari ya kurudi katika inchi ya Kanana kwa baba yake Isaka.