Genesis 31:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo alijua pia kuwa Labani hakumjali yeye kama hapo awali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo akatambua kwamba moyo wa Labani kwake umebadilika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akaona uso wa Labani, ya kuwa hakumtazama vema kama jana na juzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo alijua pia kuwa Labani hakumjali yeye kama hapo awali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo akatambua kwamba moyo wa Labani kwake haukuwa kama ulivyokuwa mwanzo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo akatambua kwamba moyo wa Labani kwake haukuwa kama ulivyokuwa mwanzo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akaona uso wa Labani, ya kuwa hakumtazama vema kama hapo awali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo alijua pia kuwa Labani hakumjali yeye kama hapo awali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yakobo alipoutazama uso wake Labani, akauona kuwa sio uleule, aliomwonyesha siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akaona uso wa Labani, ya kuwa hakumtazama vema kama jana na juzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo alijua vilevile kwamba Labani hakumujali yeye kama pale mbele.