Genesis 31:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo alimdanganya Labani, Mwaramu, kwa kuondoka bila kumjulisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, Yakobo alimdanganya Labani Mwaramu kwa kutokumwambia kwamba anakimbia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akamhadaa Labani, Mshami, kwa kuwa hakumwambia ya kwamba anakimbia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo alimdanganya Labani, Mwaramu, kwa kuondoka bila kumjulisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, Yakobo alimdanganya Labani Mwaramu kwa kutokumwambia kwamba anakimbia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, Yakobo alimdanganya Labani Mwaramu kwa kutokumwambia kwamba anakimbia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akamhadaa Labani, Mshami, kwa kuwa hakumwambia ya kwamba anakimbia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo alimdanganya Labani, Mwaramu, kwa kuondoka bila kumjulisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Yakobo alivyomdanganya Mshami Labani, kwa kuwa hakumpasha habari, ya kama anataka kujiendea upesi hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akamhadaa Labani, Mshami, kwa kuwa hakumwambia ya kwamba anakimbia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo akamudanganya Labani wa Aramu kwa kuondoka bila kumujulisha.