Genesis 31:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yakobo akachukua mali yake yote, akatoroka. Baada ya kuvuka mto Eufrate, alielekea Gileadi, nchi ya milima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo akakimbia pamoja na vitu vyote alivyokuwa navyo na kuvuka Mto, akaelekea nchi ya vilima ya Gileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akakimbia yeye na yote aliyokuwa nayo; akaondoka akauvuka mto, akaelekeza uso wake kwenda mlima wa Gileadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yakobo akachukua mali yake yote, akatoroka. Baada ya kuvuka mto Eufrate, alielekea Gileadi, nchi ya milima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo akakimbia pamoja na vitu vyote alivyokuwa navyo na kuvuka Mto Eufrati akaelekea nchi ya vilima katika Gileadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo akakimbia pamoja na vitu vyote alivyokuwa navyo na kuvuka Mto Frati akaelekea nchi ya vilima katika Gileadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akakimbia yeye na yote aliyokuwa nayo; akaondoka akauvuka mto, na kuelekea kwenye nchi ya milima ya Gileadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yakobo akachukua mali yake yote, akatoroka. Baada ya kuvuka mto Eufrate, alielekea Gileadi, nchi ya milima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatoroka yeye pamoja nayo yote yaliyokuwa yake, akalivuka lile jito na kuuelekeza uso wake kwenda mlimani kwa Gileadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akakimbia yeye na yote aliyokuwa nayo; akaondoka akauvuka mto, akaelekeza uso wake kwenda mlima wa Gileadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yakobo akatwaa mali yake yote, akatoroka. Kisha kuvuka muto Furati, akaelekea Gileadi, inchi ya milima.