Genesis 31:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya tatu, Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata siku ya tatu Labani akaambiwa ya kwamba Yakobo amekimbia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya tatu Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya tatu Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata siku ya tatu Labani akaambiwa ya kwamba Yakobo amekimbia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku tatu baadaye, Labani alijulishwa kwamba Yakobo amemtoroka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya tatu Labani akapashwa habari, ya kuwa Yakobo ametoroka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata siku ya tatu Labani akaambiwa ya kwamba Yakobo amekimbia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya siku tatu, Labani akajulishwa kwamba Yakobo amemutoroka.