Genesis 31:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Labani akawachukua ndugu zake, akamfuata Yakobo kwa muda wa siku saba, akamkuta milimani, nchini Gileadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akiwachukua jamaa zake, akamfuatia Yakobo kwa siku saba na kumkuta kwenye nchi ya vilima ya Gileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akatwaa ndugu zake pamoja naye, akamfuata mwendo wa siku saba. Akampata katika mlima wa Gileadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Labani akawachukua ndugu zake, akamfuata Yakobo kwa muda wa siku saba, akamkuta milimani, nchini Gileadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akiwachukua jamaa zake, akamfuatia Yakobo kwa siku saba na kumkuta kwenye nchi ya vilima katika Gileadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akiwachukua jamaa zake, akamfuatia Yakobo kwa siku saba na kumkuta kwenye nchi ya vilima katika Gileadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akatwaa ndugu zake pamoja naye, akamfuata mwendo wa siku saba. Akampata katika mlima wa Gileadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Labani akawachukua ndugu zake, akamfuata Yakobo kwa muda wa siku saba, akamkuta milimani, nchini Gileadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipowachukua ndugu zake, akapiga mbio za kumfuata safari ya siku saba, akampata mlimani kwa Gileadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akatwaa ndugu zake pamoja naye, akamfuata mwendo wa siku saba. Akampata katika mlima wa Gileadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Labani akawatwaa wandugu zake, akamufuata Yakobo kwa muda wa siku saba, akamukuta katika milima, katika inchi ya Gileadi.