Genesis 31:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini usiku, Mungu akamtokea Labani, Mwaramu, katika ndoto, akamwambia, “Jihadhari! Usimwambie Yakobo neno lolote lile, jema au baya.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Mungu akamjia Labani Mwaramu katika ndoto usiku na kumwambia, “Jihadhari usiseme neno lolote kwa Yakobo, liwe zuri au baya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akamjia Labani, Mshami, katika ndoto ya usiku, akamwambia, Ujihadhari, usimwambie Yakobo neno la heri wala la shari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini usiku, Mungu akamtokea Labani, Mwaramu, katika ndoto, akamwambia, “Jihadhari! Usimwambie Yakobo neno lolote lile, jema au baya.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mungu akamjia Labani Mwaramu katika ndoto usiku na kumwambia, “Jihadhari usiseme neno lo lote kwa Yakobo, liwe zuri au baya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Mungu akamjia Labani Mwaramu katika ndoto usiku na kumwambia, “Jihadhari usiseme neno lolote kwa Yakobo, liwe zuri au baya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu akamjia Labani, Mshami, katika ndoto ya usiku, akamwambia, Ujihadhari, usimwambie Yakobo neno la heri wala la shari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini usiku, Mungu akamtokea Labani, Mwaramu, katika ndoto, akamwambia, “Jihadhari! Usimwambie Yakobo neno lolote lile, jema au baya.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mungu akamjia Mshami Labani katika ndoto usiku, akamwambia: Jiangalie, usiseme na Yakobo kwa ukali, ila kwa upole tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akamjia Labani, Mshami, katika ndoto ya usiku, akamwambia, Ujihadhari, usimwambie Yakobo neno la heri wala la shari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini usiku, Mungu akamutokea Labani wa Aramu katika ndoto, akamwambia: “Ujichunge! Usimwambie Yakobo neno lolote, jema au baya.”