Genesis 31:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Labani akamwambia Yakobo, “Umefanya nini? Mbona umenidanganya, ukawachukua binti zangu kama mateka vitani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Labani akamwambia Yakobo, “Umefanya nini? Umenidanganya na umewachukua binti zangu kama mateka katika vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani akamwambia Yakobo, Umefanya nini? Umenihadaa, ukawachukua binti zangu kama mateka waliotwaliwa kwa upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Labani akamwambia Yakobo, “Umefanya nini? Mbona umenidanganya, ukawachukua binti zangu kama mateka vitani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Labani akamwambia Yakobo, “Umefanya nini? Umenidanganya na umewachukua binti zangu kama mateka katika vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Labani akamwambia Yakobo, “Umefanya nini? Umenidanganya na umewachukua binti zangu kama mateka katika vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani akamwambia Yakobo, Umefanya nini? Umenihadaa, ukawachukua binti zangu kama mateka waliotwaliwa kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Labani akamwambia Yakobo, “Umefanya nini? Mbona umenidanganya, ukawachukua binti zangu kama mateka vitani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labani akamwambia Yakobo: Umewezaje kuyafanya haya na kunidanganya, ukiwapeleka wanangu wa kike kama mateka wa upanga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani akamwambia Yakobo, Umefanya nini? Umenihadaa, ukawachukua binti zangu kama mateka waliotwaliwa kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Labani akamwambia Yakobo: “Umefanya nini? Mbona umenidanganya, ukatwaa wabinti zangu kama vile wafungwa wa vita?