Genesis 31:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini ulitoroka kisiri, ukanihadaa, wala hukuniarifu ili nipate kukuaga kwa shangwe, nyimbo, matari na vinubi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini ulikimbia kwa siri na kunidanganya? Kwa nini hukuniambia ili nikuage kwa furaha na nyimbo za matari na vinubi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona umekimbia kwa siri ukanihadaa, wala hukuniambia, nipate kuagana nawe uende zako kwa furaha, na nyimbo, na ngoma, na kinubi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini ulitoroka kisiri, ukanihadaa, wala hukuniarifu ili nipate kukuaga kwa shangwe, nyimbo, matari na vinubi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini ulikimbia kwa siri na kunidanganya? Kwa nini hukuniambia ili nikuage kwa furaha na nyimbo za matari na vinubi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini ulikimbia kwa siri na kunidanganya? Kwa nini hukuniambia ili nikuage kwa furaha na nyimbo za matari na vinubi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona umekimbia kwa siri ukanihadaa, wala hukuniambia, nipate kuagana nawe uende zako kwa furaha, na nyimbo, na ngoma, na kinubi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini ulitoroka kisiri, ukanihadaa, wala hukuniarifu ili nipate kukuaga kwa shangwe, nyimbo, matari na vinubi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nini umetoroka na kujifichaficha na kunidanganya, usiponipasha habari, nikapata kukusindikiza kwa furaha na kuimba na kupiga patu na mazeze?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona umekimbia kwa siri ukanihadaa, wala hukuniambia, nipate kuagana nawe uende zako kwa furaha, na nyimbo, na ngoma, na kinubi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini ulitoroka kwa siri, ukanidanganya, wala haukuniarifu kusudi nipate kukuaga kwa shangwe, nyimbo, matari na vinubi?