Genesis 31:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona hukunipa fursa ya kuwabusu kwaheri binti zangu na wajukuu zangu? Kweli umetenda kipumbavu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hukuniruhusu niwabusu wajukuu zangu na kuwaaga binti zangu. Umefanya kitu cha kipumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hukuniacha niwabusu wanangu, na binti zangu; basi umetenda upumbavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona hukunipa fursa ya kuwabusu kwaheri binti zangu na wajukuu zangu? Kweli umetenda kipumbavu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hukuniruhusu niwabusu wajukuu zangu na kuwaaga binti zangu. Umefanya kitu cha kipumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hukuniruhusu niwabusu wajukuu zangu na kuwaaga binti zangu. Umefanya kitu cha kipumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hukuniacha niwabusu wanangu, na binti zangu; basi umetenda upumbavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona hukunipa fursa ya kuwabusu kwaheri binti zangu na wajukuu zangu? Kweli umetenda kipumbavu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala hukunipatia kunoneana na wanangu wa kiume na wa kike. Kweli umefanya upumbavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hukuniacha niwabusu wanangu, na binti zangu; basi umetenda upumbavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona haukunipa wakati wa kubusu wabinti na wajukuu wangu? Kweli umetenda kipumbafu!