Genesis 31:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najua ulitoroka kwa sababu ya hamu kubwa ya kurudi nyumbani kwa baba yako. Lakini kwa nini uliiba vinyago vya miungu yangu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa umeondoka kwa sababu umetamani kurudi nyumbani mwa baba yako. Lakini kwa nini umeiiba miungu yangu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, umetoka kwa sababu umetamani sana nyumba ya baba yako. Mbona basi umeiiba miungu yangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najua ulitoroka kwa sababu ya hamu kubwa ya kurudi nyumbani kwa baba yako. Lakini kwa nini uliiba vinyago vya miungu yangu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa umeondoka kwa sababu umetamani kurudi nyumbani kwa baba yako. Lakini kwa nini umeiba miungu yangu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa umeondoka kwa sababu umetamani kurudi nyumbani kwa baba yako. Lakini kwa nini umeiba miungu yangu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, umetoka kwa sababu umetamani sana nyumba ya baba yako. Mbona basi umeiiba miungu yangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najua ulitoroka kwa sababu ya hamu kubwa ya kurudi nyumbani kwa baba yako. Lakini kwa nini uliiba vinyago vya miungu yangu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ulipokwenda safari yako kwa kuitunukia sana nyumba ya baba yako, kwa nini umekwiba miungu yangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, umetoka kwa sababu umetamani sana nyumba ya baba yako. Mbona basi umeiiba miungu yangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajua ulitoroka kwa sababu ya hamu kubwa ya kurudi katika nyumba ya baba yako. Lakini kwa nini uliiba sanamu za miungu yangu?”