Genesis 31:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini utakayempata na vinyago vya miungu yako asiishi! Mbele ya hawa ndugu zetu, onesha chochote kilicho chako, ukichukue.” Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameiba vinyago vya miungu ya Labani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ukimkuta yeyote na miungu yako, huyo mtu hataishi. Mbele ya jamaa zetu, angalia mwenyewe uone kama kuna chochote chako hapa nilicho nacho; kama kipo, kichukue.” Basi Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameiiba hiyo miungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Awaye yote utakayemwona kuwa nayo miungu yako, yeye asiishi. Mbele ya ndugu zetu ukitambue kilicho chako kwangu, ukakichukue. Maana Yakobo hakujua ya kwamba Raheli ameiiba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini utakayempata na vinyago vya miungu yako asiishi! Mbele ya hawa ndugu zetu, onesha chochote kilicho chako, ukichukue.” Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameiba vinyago vya miungu ya Labani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama ukimkuta ye yote aliye na miungu yako, hataishi. Mbele ya jamaa yetu, angalia mwenyewe uone kama kuna cho chote chako hapa nilicho nacho, kama kipo, kichukue.” Basi Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameiba hiyo miungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama ukimkuta yeyote aliye na miungu yako, hataishi. Mbele ya jamaa yetu, angalia mwenyewe uone kama kuna chochote chako hapa nilicho nacho, kama kipo, kichukue.” Basi Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameiba hiyo miungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Awaye yote utakayemwona kuwa nayo miungu yako, yeye asiishi. Mbele ya ndugu zetu ukitambue kilicho chako kwangu, ukakichukue. Maana Yakobo hakujua ya kwamba Raheli ameiiba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini utakayempata na vinyago vya miungu yako asiishi! Mbele ya hawa ndugu zetu, onesha chochote kilicho chako, ukichukue.” Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameiba vinyago vya miungu ya Labani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini utakayemwona, ya kuwa anayo miungu yako, na afe hapa mbele ya ndugu zetu! Jitafutie yaliyo yako kwangu, uyachukue! Naye Yakobo hakujua, ya kuwa Raheli ameiiba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Awaye yote utakayemwona kuwa nayo miungu yako, yeye asiishi. Mbele ya ndugu zetu ukitambue kilicho chako kwangu, ukakichukue. Maana Yakobo hakujua ya kwamba Raheli ameiiba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ukipata mumoja kati yetu na sanamu za miungu yako, atakufa! Mbele ya hawa wandugu zetu, onyesha chochote kinachokuwa chako, ukitwae.” Yakobo hakujua kwamba Rakeli alikuwa ameiba sanamu za miungu ya Labani.