Genesis 31:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Labani akatafuta vinyago hivyo vya miungu yake katika hema la Yakobo, la Lea na la wale wajakazi wawili; lakini hakuvipata. Akatoka katika hema la Lea na kuingia hema la Raheli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Labani akaingia ndani ya hema la Yakobo, na ndani ya hema la Lea, na ndani ya hema la wajakazi wale wawili, lakini hakuipata hiyo miungu. Baadaye alipotoka hema la Lea, akaingia hema la Raheli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani akaingia katika hema ya Yakobo, na hema ya Lea, na hema ya vijakazi wawili, wala hakuiona. Akatoka katika hema ya Lea, akaingia katika hema ya Raheli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Labani akatafuta vinyago hivyo vya miungu yake katika hema la Yakobo, la Lea na la wale wajakazi wawili; lakini hakuvipata. Akatoka katika hema la Lea na kuingia hema la Raheli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Labani akaingia ndani ya hema la Yakobo na ndani ya hema la Lea na ndani ya hema la watumishi wawili wa kike, lakini hakukuta cho chote. Baadaye alipotoka katika hema la Lea, akaingia hema la Raheli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Labani akaingia ndani ya hema la Yakobo na ndani ya hema la Lea na ndani ya hema la watumishi wawili wa kike, lakini hakukuta chochote. Baadaye alipotoka katika hema la Lea, akaingia hema la Raheli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani akaingia katika hema ya Yakobo, na hema ya Lea, na hema ya vijakazi wawili, wala hakuiona. Akatoka katika hema ya Lea, akaingia katika hema ya Raheli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Labani akatafuta vinyago hivyo vya miungu yake katika hema la Yakobo, la Lea na la wale wajakazi wawili; lakini hakuvipata. Akatoka katika hema la Lea na kuingia hema la Raheli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labani alipoingia hemani mwa Yakobo namo hemani mwa Lea namo hemani mwa wale vijakazi wawili hakuona kitu. Alipotoka hemani mwa Lea akaingia hemanai mwa Raheli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani akaingia katika hema ya Yakobo, na hema ya Lea, na hema ya vijakazi wawili, wala hakuiona. Akatoka katika hema ya Lea, akaingia katika hema ya Raheli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Labani akatafuta sanamu hizo za miungu yake katika hema la Yakobo, la Lea na la wale wajakazi wawili; lakini hakuzipata. Akatoka katika hema la Lea na kuingia katika hema la Rakeli.