Genesis 31:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Yakobo akakasirika, akamshutumu Labani akisema, “Kosa langu ni nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo akakasirika na kumshutumu Labani, akisema, “Uhalifu wangu ni nini?” Akamuuliza Labani, “Ni dhambi gani niliyofanya hata unaniwinda?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akakasirika, akagombana na Labani. Yakobo akajibu, akamwambia Labani, N'nini hatia yangu? Nayo ni nini dhambi yangu, hata ukanifuatia namna hii?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Yakobo akakasirika, akamshutumu Labani akisema, “Kosa langu ni nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo akakasirika na kumshutumu Labani, akisema, “Uhalifu wangu ni nini?” Akamwuliza Labani, “Ni dhambi gani niliyofanya hata unaniwinda?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo akakasirika na kumshutumu Labani, akisema, “Uhalifu wangu ni nini?” Akamuuliza Labani, “Ni dhambi gani niliyofanya hata unaniwinda?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akakasirika, akagombana na Labani. Yakobo akajibu, akamwambia Labani, Ni nini hatia yangu? Nayo ni nini dhambi yangu, hata ukanifuatia namna hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Yakobo akakasirika, akamshutumu Labani akisema, “Kosa langu ni nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yakobo alipokasirika sana, akaanza kumgombeza Labani akianza kusema naye na kumwambia: Nimepotoa nini? Au nimekosa nini, ukijikaza kunifuata hivyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akakasirika, akagombana na Labani. Yakobo akajibu, akamwambia Labani, N’nini hatia yangu? Nayo ni nini dhambi yangu, hata ukanifuatia namna hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo Yakobo akakasirika, akagombana na Labani akisema: “Kosa langu ni nini hata ukanifuatilia namna hii?