Genesis 31:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekaa nawe kwa muda wa miaka ishirini; na muda huo wote kondoo wako, wala mbuzi wako hawajapata kuharibu mimba, wala sijawahi kula kondoo dume wa kundi lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hadi sasa nimekuwa pamoja nawe miaka ishirini. Kondoo wako na mbuzi wako hawajaharibu mimba, wala sijala kondoo dume kutoka makundi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miaka hii ishirini nimekaa kwako; kondoo zako wala mbuzi zako wake hawakuharibu mimba wala waume katika wanyama wako sikuwala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekaa nawe kwa muda wa miaka ishirini; na muda huo wote kondoo wako, wala mbuzi wako hawajapata kuharibu mimba, wala sijawahi kula kondoo dume wa kundi lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mpaka sasa nimekuwa pamoja nawe miaka ishirini. Kondoo wako na mbuzi wako hawajaharibu mimba, wala sijala kondoo waume kutoka katika makundi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mpaka sasa nimekuwa pamoja nawe miaka ishirini. Kondoo wako na mbuzi wako hawajaharibu mimba, wala sijala kondoo dume kutoka makundi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miaka hii ishirini nimekaa kwako; kondoo wako wala mbuzi wako majike hawakuharibu mimba wala madume katika wanyama wako sikuwala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekaa nawe kwa muda wa miaka ishirini; na muda huo wote kondoo wako, wala mbuzi wako hawajapata kuharibu mimba, wala sijawahi kula kondoo dume wa kundi lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa mimi nimekuwa miaka 20 kwako, majike wako wa kondoo na wa mbuzi hawakuharibu mimba, wala madume wako wa mbuzi na wa kondoo sikuwala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miaka hii ishirini nimekaa kwako; kondoo zako wala mbuzi zako wake hawakuharibu mimba wala waume katika wanyama wako sikuwala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekaa nawe kwa muda wa miaka makumi mbili. Muda ule wote kondoo wako, wala mbuzi wako hawajapata kuharibu mimba, wala sikukula kondoo dume wa kundi lako.