Genesis 31:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, mchana nilistahimili jua kali na usiku baridi ilinipiga hata nisiweze kupata usingizi hata kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hali yangu imekuwa hivi: Nimechomwa kwa joto la mchana, na kupigwa na baridi usiku, pia usingizi ulinipotea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ilikuwa hali yangu; mchana jua likanipata, na baridi usiku, usingizi ukanitoka machoni mwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, mchana nilistahimili jua kali na usiku baridi ilinipiga hata nisiweze kupata usingizi hata kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo iliyokuwa hali yangu: Niliumia kwa joto la mchana na baridi usiku, pia usingizi ulinipa a.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo iliyokuwa hali yangu: Niliumia kwa joto la mchana na baridi usiku, pia usingizi ulinipa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ilikuwa hali yangu; mchana jua likanipata, na baridi usiku, usingizi ukanitoka machoni mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, mchana nilistahimili jua kali na usiku baridi ilinipiga hata nisiweze kupata usingizi hata kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo yangu yamekuwa hivyo: mchana joto la jua limenichoma, usiku nao baridi ikafukuza usingizi, usiingie machoni pangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ilikuwa hali yangu; mchana jua likanipata, na baridi usiku, usingizi ukanitoka machoni mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, muchana nilivumilia jua kali na usiku baridi ilinipiga. Sikuweza kupata usingizi hata kidogo.