Genesis 31:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yakobo akachukua jiwe, akalisimika kama nguzo ya ukumbusho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Yakobo akachukua jiwe, akalisimamisha kama nguzo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akatwaa jiwe akalisimamisha kama nguzo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yakobo akachukua jiwe, akalisimika kama nguzo ya ukumbusho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yakobo akachukua jiwe akalisimamisha kama nguzo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Yakobo akachukua jiwe, akalisimamisha kama nguzo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akatwaa jiwe akalisimamisha kama nguzo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yakobo akachukua jiwe, akalisimika kama nguzo ya ukumbusho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yakobo alipochukua jiwe, akalisimika kuwa kielekezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akatwaa jiwe akalisimamisha kama nguzo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yakobo akatwaa jiwe, akalisimika kama nguzo ya ukumbusho.