Genesis 31:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena Yakobo akawaambia ndugu zake, “Kusanyeni mawe.” Nao wakakusanya mawe na kufanya rundo. Kisha wakala chakula karibu na rundo hilo la mawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia jamaa yake, “Kusanyeni mawe.” Hivyo wakachukua mawe na kuyakusanya yakawa lundo; wakala chakula hapo karibu na hilo lundo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akawaambia ndugu zake, Kusanyeni mawe. Wakatwaa mawe, wakafanya chungu, nao wakala huko karibu na ile chungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena Yakobo akawaambia ndugu zake, “Kusanyeni mawe.” Nao wakakusanya mawe na kufanya rundo. Kisha wakala chakula karibu na rundo hilo la mawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia jamaa yake, “Kusanyeni mawe.” Hivyo wakachukua mawe na kuyakusanya yakawa lundo, wakala chakula hapo karibu na hilo lundo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia jamaa yake, “Kusanyeni mawe.” Hivyo wakachukua mawe na kuyakusanya yakawa lundo, wakala chakula hapo karibu na hilo lundo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akawaambia ndugu zake, Kusanyeni mawe. Wakatwaa mawe, wakafanya chungu, nao wakala huko karibu na ile chungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena Yakobo akawaambia ndugu zake, “Kusanyeni mawe.” Nao wakakusanya mawe na kufanya rundo. Kisha wakala chakula karibu na rundo hilo la mawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yakobo akawaambia ndugu zake, waokote mawe; ndipo, walipokwenda kuchukua mawe, wakayapanga kuwa chungu, kisha wakaja juu yake hilo chungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akawaambia ndugu zake, Kusanyeni mawe. Wakatwaa mawe, wakafanya chungu, nao wakala huko karibu na ile chungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena Yakobo akawaambia wandugu zake: “Mukusanye mawe.” Nao wakakusanya mawe na kufanya lundo. Kisha wakakula chakula karibu na lundo lile la mawe.