Genesis 31:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labani akaliita rundo hilo Yegar-sahadutha, lakini Yakobo akaliita Galeedi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Labani akaliita Yegar-Sahadutha na Yakobo akaliita Galeedi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani aliiita Yegarsahadutha, lakini Yakobo aliiita Galedi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labani akaliita rundo hilo Yegar-sahadutha, lakini Yakobo akaliita Galeedi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Labani akaliita Yegar-Sahadutha na Yakobo akaliita Galeedi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Labani akaliita Yegar-Sahadutha na Yakobo akaliita Galeedi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani aliiita Yegarsahadutha, lakini Yakobo aliiita Galedi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labani akaliita rundo hilo Yegar-sahadutha, lakini Yakobo akaliita Galeedi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labani akaliita Yegari-Sahaduta (Chungu la Ushahidi), naye Yakobo akaliita Galeedi (Chungu Shahidi).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani aliiita Yegarsahadutha, lakini Yakobo aliiita Galedi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaita lundo lile “Lundo la ushuhuda”. Labani akaliita katika kiaramea Yegari-Sahaduta; Yakobo akaliita katika kiebrania Galedi. Labani akasema: “Lundo hili ni ushuhuda kati yako na mimi leo.”