Genesis 31:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na ile nguzo akaiita Mizpa akisema, “Mwenyezi-Mungu na atulinde tuwapo mbali bila kuonana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia liliitwa Mispa, kwa sababu alisema, “Mwenyezi Mungu na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati hatuko pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Mispa, maana alisema, Mungu avizie kati ya mimi na wewe, wakati tusipoonana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na ile nguzo akaiita Mizpa akisema, “Mwenyezi-Mungu na atulinde tuwapo mbali bila kuonana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia liliitwa Mispa, kwa sababu alisema, “BWANA na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia liliitwa Mispa, kwa sababu alisema, “ bwana na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Mispa, maana alisema, Mungu avizie kati ya mimi na wewe, wakati tusipoonana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na ile nguzo akaiita Mizpa akisema, “Mwenyezi-Mungu na atulinde tuwapo mbali bila kuonana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena likaitwa Misipa (Chungulio), kwani alisema: Bwana na atuchungulie sisi, mimi na wewe, itakapokuwa, tusionane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Mispa, maana alisema, Mungu avizie kati ya mimi na wewe, wakati tusipoonana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile nguzo akaiita Misipa, ni kusema “Nafasi ya Ulinzi”, maana alisema: “Yawe akuwe mulinzi kati yako na mimi tunapokuwa mbali bila kuonana.