Genesis 31:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ukiwatesa binti zangu, au ukioa wanawake wengine zaidi ya hawa, basi ujue kwamba hakuna aliye shahidi kati yetu ila Mungu mwenyewe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukiwatenda mabaya binti zangu au ukioa wake wengine zaidi ya binti zangu, hata ingawa hakuna hata mmoja aliye pamoja nasi, kumbuka kwamba Mungu ni shahidi kati yako na mimi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukiwatesa binti zangu, na ukitwaa wake zaidi ya binti zangu, wala hapana mtu pamoja nasi, tazama, Mungu ni shahidi kati ya mimi na wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ukiwatesa binti zangu, au ukioa wanawake wengine zaidi ya hawa, basi ujue kwamba hakuna aliye shahidi kati yetu ila Mungu mwenyewe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukiwatenda mabaya binti zangu au ukioa wake wengine zaidi ya binti zangu, hata ingawa hakuna hata mmoja aliye pamoja nasi, kumbuka kwamba Mungu ni shahidi kati yako na mimi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukiwatenda mabaya binti zangu au ukioa wake wengine zaidi ya binti zangu, hata ingawa hakuna hata mmoja aliye pamoja nasi, kumbuka kwamba Mungu ni shahidi kati yako na mimi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukiwatesa binti zangu, na ukitwaa wake zaidi ya binti zangu, wala hapana mtu pamoja nasi, tazama, Mungu ni shahidi kati ya mimi na wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ukiwatesa binti zangu, au ukioa wanawake wengine zaidi ya hawa, basi ujue kwamba hakuna aliye shahidi kati yetu ila Mungu mwenyewe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapowatesa hawa wanangu wa kike, au utakapochukua wake wengine kuliko hawa wanangu wa kike, kweli hakuna mtu shahidi huku kwetu sisi, lakini tazama, Mungu ni shahidi wetu sisi, mimi na wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukiwatesa binti zangu, na ukitwaa wake zaidi ya binti zangu, wala hapana mtu pamoja nasi, tazama, Mungu ni shahidi kati ya mimi na wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ukitesa wabinti zangu, au ukioa wanawake wengine zaidi ya hawa, basi ujue kwamba hakuna anayekuwa mushuhuda kati yetu ila Mungu mwenyewe.”