Genesis 31:51 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani akamwambia Yakobo, Tazama chungu hii utazame na nguzo niliyoitia kati ya mimi na wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani akamwambia Yakobo, Tazama rundo hili la mawe haya utazame na nguzo niliyoisimika kati ya mimi na wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu Labani akamwambia Yakobo, “Tazama rundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Labani akamwambia Yakobo: Litazame chungu hili, litazame nalo hili jiwe, nililolisimika kuwa kielekezo chetu, mimi na wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labani akamwambia Yakobo, Tazama chungu hii utazame na nguzo niliyoitia kati ya mimi na wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Labani akamwambia Yakobo: “Angalia lundo hili la mawe na nguzo ambayo nimeisimika kati yako nami.