Genesis 31:54 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akatoa tambiko huko mlimani na kuwaalika ndugu zake wale chakula. Baada ya kula, wakabaki huko usiku kucha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo akatoa dhabihu huko nchi ya vilima na akawaalika jamaa zake kula chakula. Baada ya kula, wakalala huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akachinja sadaka katika mlima, akawaita ndugu zake waje wale chakula, nao wakala chakula, wakakaa usiku kucha mlimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akatoa tambiko huko mlimani na kuwaalika ndugu zake wale chakula. Baada ya kula, wakabaki huko usiku kucha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo akatoa dhabihu juu ya kilima na akawaalika jamaa zake kula chakula. Baada ya kula, wakalala huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo akatoa dhabihu juu ya kilima na akawaalika jamaa zake kula chakula. Baada ya kula, wakalala huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akachinja sadaka katika mlima, akawaita ndugu zake waje wale chakula, nao wakala chakula, wakakaa usiku kucha mlimani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akatoa tambiko huko mlimani na kuwaalika ndugu zake wale chakula. Baada ya kula, wakabaki huko usiku kucha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yakobo akachinja hapo mlimani ng'ombe ya tambiko, akawaalika ndugu zake kuja kula naye; walipokwisha kula wakalala usiku huko mlimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akachinja sadaka katika mlima, akawaita ndugu zake waje wale chakula, nao wakala chakula, wakakaa usiku kucha mlimani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akatoa sadaka kule kwenye mulima na kuwaalika wandugu zake wakule chakula. Kisha kula, wakabaki kule usiku kucha.