Genesis 31:55 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi na mapema Labani akaamka, akawabusu wajukuu na binti zake, akawabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake asubuhi na mapema, Labani akawabusu wajukuu zake na binti zake, na kuwabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labani akaondoka asubuhi na mapema, akawabusu wanawe na binti zake, akawabariki; kisha Labani akaenda zake, akarudi kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asubuhi na mapema Labani akaamka, akawabusu wajukuu na binti zake, akawabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake asubuhi na mapema, Labani akawabusu wajukuu zake, binti zake na kuwabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake asubuhi na mapema, Labani akawabusu wajukuu zake, binti zake na kuwabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labani akaondoka asubuhi na mapema, akawabusu wanawe na binti zake, akawabariki; kisha Labani akaenda zake, akarudi kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi na mapema Labani akaamka, akawabusu wajukuu na binti zake, akawabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake Labani akaamka na mapema, akanoneana na wanawe wa kiume na wa kike na kuwabariki; kisha Labani akaenda zake kurudi kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)