Genesis 31:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo yeye amenidanganya na kuubadilisha ujira wangu mara kumi. Lakini Mungu hakumruhusu kunidhuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini baba yenu amenidanganya kwa kubadilisha ujira wangu mara kumi. Hata hivyo, Mungu hakumruhusu kunidhuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baba yenu amenidanganya, akabadili mshahara wangu mara kumi; lakini Mungu hakumwacha kunidhuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo yeye amenidanganya na kuubadilisha ujira wangu mara kumi. Lakini Mungu hakumruhusu kunidhuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hata hivyo baba yenu amenidanganya kwa kubadilisha ujira wangu mara kumi. Hata hivyo, Mungu hakumruhusu kunidhuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hata hivyo baba yenu amenidanganya kwa kubadilisha ujira wangu mara kumi. Hata hivyo, Mungu hakumruhusu kunidhuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baba yenu amenidanganya, akabadili mshahara wangu mara kumi; lakini Mungu hakumwachia anidhuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo yeye amenidanganya na kuubadilisha ujira wangu mara kumi. Lakini Mungu hakumruhusu kunidhuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini baba yenu amenidanganya na kuugeuza mshahara wangu mara kumi, lakini Mungu amemzuia, asiweze kunifanyizia kibaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baba yenu amenidanganya, akabadili mshahara wangu mara kumi; lakini Mungu hakumwacha kunidhuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo yeye amenidanganya na kubadilisha mushahara wangu mara kumi. Lakini Mungu hakumuruhusu kunizuru.