Genesis 31:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo Mungu alivyochukua wanyama wa baba yenu, akanipa mimi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Mungu amechukua mifugo ya baba yenu na amenipa mimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi Mungu akamnyang'anya mali yake baba yenu, na kunipa mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo Mungu alivyochukua wanyama wa baba yenu, akanipa mimi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mungu amechukua mifugo ya baba yenu na amenipa mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Mungu amechukua mifugo ya baba yenu na amenipa mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi Mungu akamnyang'anya mali yake baba yenu, na kunipa mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo Mungu alivyochukua wanyama wa baba yenu, akanipa mimi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Mungu alivyoyachukua makundi ya baba yenu, akanipa mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi Mungu akamnyang’anya mali yake baba yenu, na kunipa mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo Mungu alivyotwaa nyama wa baba yenu, akanipa mimi.