Genesis 32:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo aliendelea na safari yake. Basi, malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo pia akaondoka akaenda zake, nao malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akashika njia yake na malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo aliendelea na safari yake. Basi, malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakobo pia akaondoka akaenda zake, malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakobo pia akaondoka akaenda zake, nao malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akashika njia yake na malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo aliendelea na safari yake. Basi, malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo alipokwenda safari yake akakutana na malaika wa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akashika njia yake na malaika wa Mungu wakakutana naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asubui mapema Labani akaamuka, akawabusu wajukuu na wabinti zake, akawabariki. Kisha akaondoka, akarudi kwake.