Genesis 32:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakuomba uniokoe sasa kutoka kwa ndugu yangu Esau, maana nina hofu kuwa atatushambulia na kutuua sote, akina mama pamoja na watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nakuomba uniokoe kutoka kwa mkono wa ndugu yangu Esau, kwa maana ninaogopa kuwa atakuja kunishambulia, pia kina mama pamoja na watoto wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniokoe sasa na mkono wa ndugu yangu, mkono wa Esau, maana mimi namwogopa, asije akanipiga, na mama pamoja na wana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakuomba uniokoe sasa kutoka kwa ndugu yangu Esau, maana nina hofu kuwa atatushambulia na kutuua sote, akina mama pamoja na watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nakuomba, uniokoe na mkono wa ndugu yangu Esau, kwa maana ninaogopa kuwa atakuja kunishambulia, pia mama pamoja na watoto wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nakuomba, uniokoe na mkono wa ndugu yangu Esau, kwa maana ninaogopa kuwa atakuja kunishambulia, pia mama pamoja na watoto wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniokoe sasa na mkonowa ndugu yangu, mkono wa Esau, maana mimi ninamwogopa, asije akaniua, na kina mama pamoja na watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakuomba uniokoe sasa kutoka kwa ndugu yangu Esau, maana nina hofu kuwa atatushambulia na kutuua sote, akina mama pamoja na watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niponye mkononi mwa mkubwa wangu Esau! Kwani namwogopa, asije, akanipiga mimi na wamama pamoja na wana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniokoe sasa na mkono wa ndugu yangu, mkono wa Esau, maana mimi namwogopa, asije akanipiga, na mama pamoja na wana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sistahili hata kidogo wema wote na uaminifu wote ulionitendea mimi mutumishi wako. Nilipovuka muto Yordani, sikukuwa na kitu isipokuwa fimbo; lakini sasa nina makundi haya mawili.