Genesis 32:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbuzi majike 200 na mabeberu 20, kondoo majike 200 na madume 20,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
beberu ishirini na mbuzi jike mia mbili, kondoo dume ishirini na kondoo jike mia mbili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mbuzi wake mia mbili, na mbuzi waume ishirini, kondoo wake mia mbili, na kondoo waume ishirini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mbuzi majike 200 na mabeberu 20, kondoo majike 200 na madume 20,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo waume ishirini na kondoo wake 200.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mbuzi majike mia mbili, mbuzi dume ishirini, kondoo majike mia mbili, na kondoo dume ishirini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbuzi majike 200 na mabeberu 20, kondoo majike 200 na madume 20,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mbuzi majike 200 na madume 20, kondoo majike 200 na madume 20,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mbuzi wake mia mbili, na mbuzi waume ishirini, kondoo wake mia mbili, na kondoo waume ishirini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yakobo akalala pale usiku ule. Kisha akatenga sehemu ya mali yake, ikuwe zawadi kwa ndugu yake Esau: