Genesis 32:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ngamia jike thelathini pamoja na ndama zao, ng’ombe arobaini na mafahali kumi, punda jike ishirini, na punda wa kiume kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ngamia wanyonyeshao thelathini pamoja na wana wao, ng'ombe wake arobaini na mafahali kumi; punda wake ishirini na wana wao kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ngamia wake thelathini pamoja na ndama zao, ng'ombe wake arobaini na mafahali kumi, punda wake ishirini na punda waume kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ngamia wake thelathini pamoja na ndama zao, ng’ombe wake arobaini na mafahali kumi, punda wake ishirini na punda waume kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ngamia wanyonyeshao thelathini pamoja na wana wao, ng'ombe majike arobaini na mafahali kumi; punda majike ishirini na wana wao kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ngamia 30 wanyonyeshao pamoja na ndama wao, ng'ombe majike 40 na mafahali kumi, na punda majike 20 na madume kumi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ngamia wanyonyeshao 30 pamoja na wana wao, ng'ombe majike 40 na madume 10, punda majike 20 na wana wa punda 10;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ngamia wanyonyeshao thelathini pamoja na wana wao, ng’ombe wake arobaini na mafahali kumi; punda wake ishirini na wana wao kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mbuzi dike mia mbili na mabeberu makumi mbili, kondoo dike mia mbili, na dume makumi mbili,