Genesis 32:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kuwavusha ngambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kuwavusha ng’ambo ya kijito, alivusha pia mali yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kuwavusha ng'ambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kuwavusha ng'ambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kuwavusha ng’ambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kuwavusha ngambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawachukua, akawavusha hapo mtoni, akayavusha nayo yote, aliyokuwaa nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiku uleule Yakobo akaamuka, akatwaa wake zake wawili, wajakazi wake wawili na watoto wake kumi na mumoja, akapita kivuko cha Yaboki.