Genesis 32:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akamjibu, “Yakobo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mtu akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Ni Yakobo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akamjibu, “Yakobo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mtu akamwuliza, “Jina lako nani?” Akajibu, “Yakobo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mtu akamuuliza, “Jina lako nani?” Akajibu, “Yakobo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwuliza, Jina lako ni nani? Akasema, Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akamjibu, “Yakobo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwuliza: Jina lako nani? Akasema: Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwuliza, Jina lako n’nani? Akasema, Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha yule mutu akamwambia Yakobo: “Uniache nijiendee, maana kunapambazuka.” Lakini Yakobo akamwambia: “Sitakuacha hata kidogo, mpaka umenibariki!”