Genesis 32:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yakobo akaogopa sana na kufadhaika. Akawagawa katika makundi mawili watu waliokuwa pamoja naye, kondoo, mifugo mingine na ngamia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hofu kuu na huzuni, Yakobo akagawanya watu aliokuwa nao katika makundi mawili; pia akagawanya makundi ya kondoo na mbuzi, na vilevile ng’ombe na ngamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yakobo akaogopa sana, na kufadhaika sana, akawagawanya watu waliopo pamoja naye, na kondoo, na ng'ombe, na ngamia, wawe matuo mawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yakobo akaogopa sana na kufadhaika. Akawagawa katika makundi mawili watu waliokuwa pamoja naye, kondoo, mifugo mingine na ngamia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hofu kuu na huzuni, Yakobo akagawanya watu aliokuwa nao katika makundi mawili, pia akagawanya makundi ya kondoo na mbuzi, na vile vile ng'ombe na ngamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hofu kuu na huzuni, Yakobo akagawanya watu aliokuwa nao katika makundi mawili, pia akagawanya makundi ya kondoo na mbuzi, na vilevile ng’ombe na ngamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yakobo akaogopa sana, na kufadhaika sana, akawagawanya watu waliokuwa pamoja naye, na kondoo, na ng'ombe, na ngamia, wawe makundi mawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yakobo akaogopa sana na kufadhaika. Akawagawa katika makundi mawili watu waliokuwa pamoja naye, kondoo, mifugo mingine na ngamia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yakobo alipoogopa sana na kusongeka moyoni, akawagawanya watu, aliokuwa nao, hata mbuzi na kondoo, nao ng'ombe na ngamia kuwa vikosi viwili,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yakobo akaogopa sana, na kufadhaika sana, akawagawanya watu waliopo pamoja naye, na kondoo, na ng’ombe, na ngamia, wawe matuo mawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wajumbe walikwenda, kisha wakarudi na kumwambia Yakobo: “Tumefika kwa ndugu yako Esau, naye yuko katika njia kuja kukupokea, akiwa na watu mia ine.”