Genesis 33:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu hiyo ya ardhi ambako alipiga kambi aliinunua kutoka kwa wazawa wa Hamori, baba yake Shekemu, kwa vipande 100 vya fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akanunua kiwanja kutoka kwa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa bei ya vipande mia moja vya fedha, akapiga hema lake hapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akainunua sehemu ya nchi, alipopiga hema yake, kwa mkono wa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa vipande mia vya fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu hiyo ya ardhi ambako alipiga kambi aliinunua kutoka kwa wazawa wa Hamori, baba yake Shekemu, kwa vipande 100 vya fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akanunua kiwanja kutoka kwa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa bei ya vipande mia vya fedha, ambapo alipiga hema lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akanunua kiwanja kutoka kwa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa bei ya vipande mia vya fedha, ambapo alipiga hema lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akainunua sehemu ya nchi, alipopiga hema yake, kwa mkono wa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa vipande mia moja vya fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu hiyo ya ardhi ambako alipiga kambi aliinunua kutoka kwa wazawa wa Hamori, baba yake Shekemu, kwa vipande 100 vya fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akakinunua kile kipande cha shamba, alikolipiga hema lake, kwa wana wa Hamori, babake Sikemu, kwa fedha mia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akainunua sehemu ya nchi, alipopiga hema yake, kwa mkono wa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa vipande mia vya fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu hiyo ya inchi ambako alipiga kambi aliinunua kutoka kwa wazao wa Hamori, baba ya Sekemu, kwa vikoroti mia moja vya feza.