Genesis 33:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaweka wajakazi na watoto wao mbele, kisha Lea na watoto wake, na nyuma kabisa wakafuata Raheli na mwanawe Yosefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaweka wale wajakazi na watoto wao mbele, Lea na watoto wake wakafuata, nao Raheli na Yusufu wakaja nyuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaweka hao vijakazi na wana wao mbele, na Lea na wanawe nyuma yao, na Raheli na Yusufu mwisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaweka wajakazi na watoto wao mbele, kisha Lea na watoto wake, na nyuma kabisa wakafuata Raheli na mwanawe Yosefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaweka wale watumishi wa kike na watoto wao mbele, Lea na watoto wake wakafuata, Raheli na Yosefu wakaja nyuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaweka wale watumishi wa kike na watoto wao mbele, Lea na watoto wake wakafuata, Raheli na Yusufu wakaja nyuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaweka hao vijakazi na wana wao mbele, na Lea na wanawe nyuma yao, na Raheli na Yusufu mwisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaweka wajakazi na watoto wao mbele, kisha Lea na watoto wake, na nyuma kabisa wakafuata Raheli na mwanawe Yosefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hao vijakazi na wana wao akawaweka mbele, akafuata Lea pamoja na wanawe, naye Raheli pamoja na Yosefu akawaweka nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaweka hao vijakazi na wana wao mbele, na Lea na wanawe nyuma yao, na Raheli na Yusufu mwisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaweka wajakazi na watoto wao mbele, kisha Lea na watoto wake, na nyuma kabisa wakafuata Rakeli na mwana wake Yosefu.