Genesis 33:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha yeye mwenyewe akawatangulia, akaenda akiinama mpaka chini kwa heshima mara saba, mpaka alipofika karibu na ndugu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye mwenyewe akatangulia mbele na kusujudu hadi chini mara saba alipomkaribia ndugu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapita mwenyewe mbele yao, akainama mpaka nchi mara saba, hata alipomkaribia ndugu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha yeye mwenyewe akawatangulia, akaenda akiinama mpaka chini kwa heshima mara saba, mpaka alipofika karibu na ndugu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye mwenyewe akatangulia mbele na kusujudu mara saba alipomkaribia ndugu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye mwenyewe akatangulia mbele na kusujudu mara saba alipomkaribia ndugu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akapita mwenyewe mbele yao, akainama mpaka nchi mara saba, hata alipomkaribia ndugu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha yeye mwenyewe akawatangulia, akaenda akiinama mpaka chini kwa heshima mara saba, mpaka alipofika karibu na ndugu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwenyewe akawatangulia, akajiangusha chini mara saba, mpaka amfikie mkubwa wake karibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapita mwenyewe mbele yao, akainama mpaka nchi mara saba, hata alipomkaribia ndugu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha yeye mwenyewe akawatangulia. Akakwenda akiinama uso mpaka chini kwa heshima mara saba, mpaka alipofika karibu na ndugu yake.