Genesis 33:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wale wajakazi wakakaribia pamoja na watoto wao, wakainama kwa heshima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wale wajakazi na watoto wao wakakaribia na kusujudu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wale vijakazi, na wana wao, wakakaribia wakainama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wale wajakazi wakakaribia pamoja na watoto wao, wakainama kwa heshima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wale watumishi wa kike na watoto wao wakakaribia na kusujudu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wale watumishi wa kike na watoto wao wakakaribia na kusujudu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wale vijakazi, na wana wao, wakakaribia wakainama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wale wajakazi wakakaribia pamoja na watoto wao, wakainama kwa heshima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wale vijakazi walipofika karibu pamoja na watoto wao na kumwangukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wale vijakazi, na wana wao, wakakaribia wakainama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)