Genesis 34:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika, Shekemu akawaambia baba na ndugu zake Dina, “Tafadhali, mniwie radhi, nami nitawapeni chochote mtakachosema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Shekemu akamwambia baba yake Dina pamoja na ndugu zake, “Naomba nipate kibali machoni penu, nami nitawapa chochote mtakachosema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shekemu akamwambia babaye yule msichana na nduguze, Na nikubalike machoni penu, na mtakavyoniambia nitatoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika, Shekemu akawaambia baba na ndugu zake Dina, “Tafadhali, mniwie radhi, nami nitawapeni chochote mtakachosema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Shekemu akamwambia baba yake Dina pamoja na ndugu zake, “Na nipate kibali machoni penu, nami nitawapa cho chote mtakachosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Shekemu akamwambia baba yake Dina pamoja na ndugu zake, “Na nipate kibali machoni penu, nami nitawapa chochote mtakachosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shekemu akamwambia babaye yule msichana na nduguze, Na nikubalike machoni penu, na mtakavyoniambia nitatoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika, Shekemu akawaambia baba na ndugu zake Dina, “Tafadhali, mniwie radhi, nami nitawapeni chochote mtakachosema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Sikemu akamwambia babake Dina na ndugu zake: Afadhali nipate upendeleo machoni penu! Nayo mtakayoniambia nitawapa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shekemu akamwambia babaye yule msichana na nduguze, Na nikubalike machoni penu, na mtakavyoniambia nitatoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, Sekemu akawaambia baba na wandugu za Dina: “Ninataka kukubaliwa mbele yenu, nami nitawapa ninyi chochote mutakachosema.