Genesis 34:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tutakubaliana nanyi tu kwa sharti hili: Kwamba mtakuwa kama sisi kwa kumtahiri kila mwanamume miongoni mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tutakuruhusu kwa sharti moja tu, kwamba mtakuwa kama sisi kwa kuwatahiri wanaume wenu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kwa sharti hii tu tutapatana nanyi; mkiwa kama sisi, akitahiriwa kila mwanamume wenu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tutakubaliana nanyi tu kwa sharti hili: kwamba mtakuwa kama sisi kwa kumtahiri kila mwanamume miongoni mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tutakuruhusu kwa sharti moja tu, kwamba mtakuwa kama sisi kwa kuwatahiri wanaume wenu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tutakuruhusu kwa sharti moja tu, kwamba mtakuwa kama sisi kwa kuwatahiri wanaume wenu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kwa sharti hili tu tutapatana nanyi; mkiwa kama sisi, akitahiriwa kila mwanamume wenu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tutakubaliana nanyi tu kwa sharti hili: Kwamba mtakuwa kama sisi kwa kumtahiri kila mwanamume miongoni mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tutaweza kuwaitikia neno hilo hapo tu, mtakapokuwa kama sisi, kwenu wa kiume wote wakitahiriwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kwa sharti hii tu tutapatana nanyi; mkiwa kama sisi, akitahiriwa kila mwanamume wenu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tutakubaliana nanyi tu kwa sharti hili: kwamba mutakuwa kama sisi kwa kumutahiri kila mwanaume kati yenu.