Genesis 34:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini msipokubaliana nasi na kutahiriwa, basi, sisi tutamchukua binti yetu na kwenda zetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua dada yetu na kuondoka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama hamtusikii na kutahiriwa, basi tutamtwaa umbu letu, nasi tutakwenda zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini msipokubaliana nasi na kutahiriwa, basi, sisi tutamchukua binti yetu na kwenda zetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua ndugu yetu na kuondoka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua ndugu yetu na kuondoka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama hamtusikii na kutahiriwa, basi tutamtwaa binti yetu, nasi tutakwenda zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini msipokubaliana nasi na kutahiriwa, basi, sisi tutamchukua binti yetu na kwenda zetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini msipotusikia na kutahiriwa, tutamchukua mtoto wetu, twende zetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama hamtusikii na kutahiriwa, basi tutamtwaa umbu letu, nasi tutakwenda zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini musipokubaliana nasi na kutahiriwa, basi, sisi tutamutwaa binti yetu na kujiendea yetu.”