Genesis 34:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walichukua kondoo na mbuzi, ng'ombe, punda na chochote kilichokuwa mjini au shambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakateka kondoo na mbuzi, ng’ombe, punda, na kila kitu kilichokuwa ndani ya mji ule na mashambani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakachukua kondoo zao, na ng'ombe zao, na punda zao, na vitu vilivyokuwamo mjini, navyo vilivyokuwako kondeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walichukua kondoo na mbuzi, ng'ombe, punda na chochote kilichokuwa mjini au shambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakachukua kondoo na mbuzi, ng'ombe, punda na kila kitu kilichokuwa chao ndani ya mji ule na mashambani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakachukua kondoo na mbuzi, ng’ombe, punda na kila kitu kilichokuwa chao ndani ya mji ule na mashambani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakachukua kondoo wao, na ng'ombe wao, na punda wao, na vitu vilivyokuwamo mjini, na vile vilivyokuwako kondeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walichukua kondoo na mbuzi, ng'ombe, punda na chochote kilichokuwa mjini au shambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawachukua mbuzi na kondoo wao na ng'ombe wao na punda wao nayo yaliyokuwamo mjini nayo yaliyokuwako mashambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakachukua kondoo zao, na ng’ombe zao, na punda zao, na vitu vilivyokuwamo mjini, navyo vilivyokuwako kondeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitwaa kondoo na mbuzi, ngombe, punda na chochote kilichokuwa katika muji au katika shamba.