Genesis 35:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Raheli akafariki na kuzikwa kando ya njia iendayo Efratha (yaani Bethlehemu).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Raheli akafa, na akazikwa kando ya njia iendayo Efrata (ndio Bethlehemu).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Raheli, akazikwa katika njia ya Efrathi, ndio Bethlehemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Raheli akafariki na kuzikwa kando ya njia iendayo Efratha (yaani Bethlehemu).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu).
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu).
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Raheli, akazikwa katika njia ya Efrata, ndio Bethlehemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Raheli akafariki na kuzikwa kando ya njia iendayo Efratha (yaani Bethlehemu).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Raheli alivyokufa, akazikwa hapohapo penye njia ya kwenda Efurata, ndio Beti-Lehemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Raheli, akazikwa katika njia ya Efrathi, ndio Bethlehemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Rakeli akakufa na kuzikwa kando ya njia inayokwenda Efurata, ni kusema Betelehemu.